Translate in your language

Tuesday, April 13, 2010

nimeona niwawekee hii kwani nami ni mdau wa afya za watu

ila wadau pia kumaliza doz  nayo pia ni muhimu kupita maelezo, kwani usipomaliza doz unafanya ugonjwa kua sugu kwa dawa iyo na ivyo kulazimika kubadili dawa kila wakati na itafika wakati  hakuna dawa mbadala na kupelekea kukosa dawa ya kukutibu ivyo kukufanya kuumwa na kukosa dawa muafaka

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)