ila wadau pia kumaliza doz nayo pia ni muhimu kupita maelezo, kwani usipomaliza doz unafanya ugonjwa kua sugu kwa dawa iyo na ivyo kulazimika kubadili dawa kila wakati na itafika wakati hakuna dawa mbadala na kupelekea kukosa dawa ya kukutibu ivyo kukufanya kuumwa na kukosa dawa muafaka
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa