MAKALA MAALUM; VIFO VYA VIONGOZI WAKUU VILITABILIWA
JANUARI 17, 2010 watu wote waliokuwemo katika kanisa la All Nations, na watazamaji wa kituo cha Televisheni cha Emmanuel walishuhudia Nabii maarufu, TB Joshua akisoma orodha ya utabiri wake wa mwaka kwa jumuiya za kimataifa na taifa.
Katika orodha hiyo ya utabiri ni ule ulioigusa Urusi na nchi moja ya jirani, na kusisitiza watu wa Mungu kuliombea Taifa la Urusi na nchi hiyo jirani ambayo hakuitaja jina:

Jumapili, Machi 21, 2010 wakati akiendesha ibada Nabii TB Joshua alisema maneno yafuatayo:
"Nilikuwa katika maono na niliona parachuti ambayo ilikuwa imejaa watu – watu wengi walikuwa ndani ya parachuti. Lakini ilipoteza mwelekeo wakati ikiwa angani na parachuti ile ikawa inaangalia mahali pa kutua. Katika maono hayo nilikuwa nikiomba, "Mungu, … kama Mungu anaweza kunipa kibali cha kuitambua nchi hiyo, muda na wakati ambao tukio
Siku hiyo hiyo ya Jumapili, ya Machi 21, 2010 wakati wa ibada hiyo hiyo, Nabii Joshua alifungua mambo mengi zaidi, wakati huu alielezea watu aliowaona ndani ya parachuti ile.
" Nilisema lazima tuliombee taifa
Wiki iliyofuata, Machi 28, 2010 wakati wa misa iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja kwenye televisheni, Nabii Joshua alielezea zaidi juu ya maono yake akisema kuwa aliona bendera ikianguka chini.
"…ninaona bendera ikianguka chini. Ni nchi gani? Ninaona bendera– moja, mbili nyeupe….."
Jumamosi, Aprili 10, 2010, ghafla ikaja habari kuwa, Rais wa Poland, Lech Kaczynski, mke wake, Mkuu wa majeshi, Gavana wa benki kuu na maofisa wengine wa serikali ya nchi hiyo wakiwamo mawaziri na wabunge waliuawa baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kuanguka nchini Urusi.
Habari za ajali hiyo, ziliishutua nchi ya
Waziri Mkuu, aliitisha kikao cha dharura cha baraza la mawaziri baada ya kutokea ajali hiyo ambayo iligharimu maisha ya watu wengi.
Ni kweli
Siku ya Jumamosi ndege iliyokuwa imebeba viongozi wakuu wa nchi na wanahistoria, akiwamo Rais wa nchi hiyo Lech Kaczynski, ilianguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, nchini Urusi, viongozi hao walikuwa wanakwenda kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 70 tangu kutokea mauaji ya wafungwa wa vita wa Urusi na Poland waliouawa wakati wa utawala wa kisovieti..
Watu wote 96, waliokuwamo ndani ya ndege hiyo wengi wao wakiwa ni maofisa wa ngazi za juu katika siasa za
Miongoni mwa waliokufa katika ajali hiyo ni mke wa rais, Maria, Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Andrzej Kremer, Mkuu wa majeshi ya Poland, Franciszek Gagor, na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Slawomir Skrzypek. Abiria wengine waliokufa katika ajali hiyo ni wabunge na wanahistoria kadhaa.
Rais, Kaczynski na mke wameacha mtoto mmoja wa kike, Marta. wajukuu wawili, mama wa rais huyo ambaye mgonjwa pamoja na pacha wake Jaroslaw ambaye alikwenda kuutambua mwili wake katika eneo la ajali.
Jaroslaw na Rais Kaczynski ni mapacha wanaofanana ambao utofauti wake unaweza kuutambua kwa tabia na pete ya ndoa ambayo Kaczynski alikuwa nayo.
Mapacha hao wawili mara nyingi walikuwa wakionekana pamoja kiasi kumepelekea kuibuka maneno kuwa Jaroslaw huenda akasimama kugombea nafasi ya urais aliyoiacha ndugu yake.
Wakati wakiwa watoto, mapacha hao walikuwa ni Mastaa wa filamu ya watoto iliyokuwa ikijulikana
Mwaka 2005, jarida la
Hata hivyo, wachambuzi wanasema kuwa pamoja na hayo bado haizuiliki kwa Jaoroslaw, ambaye alijiuzulu Uwaziri Mkuu Novemba 2007, kuwa mgombea wa urais.
Wananchi ambao walihojiwa juu ya uwezekano huo, walionekana kuwa na masikitiko wakati huu wa msiba lakini baadhi
Msemaji wa wizara ya katiba na sheria, alipuuzia akisema kuwa huu ni wakati wa maombolezo
Pamoja na hayo, maswali bado ni mengi, wengi wanajiuliza kwa nini Kapteni Arkadiusz Protasiuk pamoja na timu ya wafanyakazi wa ndege walipuuzia wito waliopewa
Je ni Rais yeye mwenyewe ndiye alipuuzia wito huo na kumuamuru Rubani aendelee kama alivyofanya mwaka 2008 wakati rubani alipokataa kutua katika eneo la
Kifaa kinachotumika kutunza kumbukumbu kinaonyesha kuwa, rubani alipokea taarifa za kumuonya. Na taarifa zinaeleza kuwa ndege ya Rais ilikwenda kwa ajili kuangaliwa
Serikali ya
Rais wa mpito ana siku 14 tu za kupanga tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi tangu kifo cha Kacynski, na uchaguzi unatakiwa uwe ndani ya siku 60.
Hivyo basi, wananchi wa
Kuna wasiwasi mwingine ambao umejitokeza: kufuatia idadi kubwa ya viongozi waliofariki sanjari na rais. Kwa mujibu wa sheria za
Rais Kaczynski aliyezaliwa June 18, mwaka 1949 huko
Aidha, rais huyo aliuunga mkono mfumo wa kuwa na makombora ya kujilinda uliopendekezwa na rais wa zamani wa Marekani, George W. Bush.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa