Translate in your language
Sunday, March 9, 2014
AJALI MBAYA NDANDA
Ajali mbaya imetokea NDANDA imehusisha Land Cruiser ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu ambayo iliacha njia na kuvamia miti ilipo pembezoni mwa barabara nyuma ya Mochwari ya Ndanda Hospitali. Habari zinasema watu 2 wamefariki papo hapo na mwingine amebanwa na mmbonyeo wa gari hilo huku wengine wakisogezwa hospitali kwa huduma zaidi. Juhudi zinafanyika kuomba msaada wa vifaa vya Karakana za Ndanda Tech ili kuweza kumnasua aliyebanwa. POLENI SANA WANA NANYUMBU, R.I.P. KWA MAREHEMU WOTE
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa