Hatimaye wiki iliyopita sehemu nyingi za Mjini Tanga zilibahatika kupata mvua na kupunguza joto ambalo lilikuwa kero kwa kiasi fulani kwa wakazi wa maeneo hayo,
Eneo la nyumba za polisi chumbageni zikiungua kwa moto |
Moshi mzito wa moto ukiwa unazagaa angani na kuonekana eneo la mbali tokea sehemu ya tukio hilo |
Pia kulikuw na tukio la kukungua kwa nyumba za polisi zilizo eneo la chumbageni na kusabababisha taharuki maeneo mengi kwa watu kuona mosho mzito ukizagaa angani na kupelekea watu kusogea eneo hilo na kushuhudia kilichojili kama picha zinavyoonyesha
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa