Translate in your language

Sunday, February 3, 2013

BREAKING NEWS!!!!

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Jeng ola PPF TOWER lililopo mtaa wa Ohio jijini Dar es Salaam limepata hitilafu ya umeme na kusababisha moto mkubwa kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo juu kabisa ya jengo hilo kutekekea kwa moto

PPF Tower inawaka moto muda huu, Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo ni vitendea kazi wanashindwa kupanda

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)