Gharama za kupiga simu toka mtandao mmoja kwenda mwingine imepungua toka TShs 112 kwa dakika hadi kufikia TShs 34.92 kwa dakika
Punguzo hilo litaanza rasmi kuanzia tarehe 01- Machi - 2013, Makuabaliano haya yamefikiwa baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tz kurejea na kufanya marejeo katika gharama za simu
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa