Translate in your language

Saturday, October 20, 2012

BREAKING NEWS !!!!!!

Shehe Amir Faridi ambae ni kiongozi wa UAMSHO aliepotea juzi na kusababisha wafuasi wake kuandamana na kufanya fujo ameonekana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo 

picha akionekana anasalimiana na familia na baadhi ya majirani zake huko kisiwani zanzibar

1 comment :

Anonymous said...

Your post ωas extremely helpful. I actually rеally liked reading it.
It makes me want to try portray a few morе gameѕ than I usually might which іsn't most likely the most productive thing I ever done but regardless thanks!
Also visit my blog de Barbie

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)