Translate in your language

Sunday, August 26, 2012

KILIO NDIO SULUHISHO YA MATATIZO YANATOTUKABILI?


Mkuu wa wilaya ya Nkasi, Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchunugu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya Halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere.

Namalizia kuna faida kiutendaji kwa kulia?

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)