MOVENPICK YAIPIGA JEKI HABITAT KWA MAKAZI Na Mwanablog wetu Dar HOTELI ya Movenpick ya jijini Dar es Salaam, imetoa Dolla za Kimarekani 14,000 kwa shirika lisilo la kiserikali la Makazi la Habitat, kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa makazi. Pesa hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki, ikiwa ni kuikubali shirika Akikabidhi kwa Mkurugenzi wa Habitat nchini, Scott Metzel, mwakilishi wa hoteli hiyo, Gehan Moustafa, alisema Movenpick bado itaendelea kutoa mchango kwa Habitat kutokana na kazi kubwa inayofanya shirika hilo, kwa ajili ya kusaidia wananchi wasiokuwa na uwezo wa kujenga nyumba bora. "Hoteli hii imeweka kipaumbele katika kuisaidia jamii yenye uhitaji hasa katika suala zima la kuwajengea makazi wananchi wasiokuwa na uwezo wa kujanga nyumba bora za kuishi, hivyo Habitat tutaendelea kuwaunga mkonp kwa kazi Gehan alisema, Hoteli hiyo imekuwa ikifanya kazi na Habitat katika kuwasaidia wananchi, ambapo Agosti 22 mwaka juzi, wameshajenga nyumba maeneo ya Chamazi, Mbagala. Ambapo malengo ya mwaka huu ni kuongeza nyumba zaidi kwa wakazi wasiokuwa na uwezo lakini pia wanampango wa kupanya wigo sehemu nyingine Afrika. Akipokea msaada huo, Mkurugenzi huyo wa Habitat, Metzel alisema shirika Aidha shirika hilo hutoa misaada mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifaa vya ujenzi kama vile, Mabati, matofali ilikusaidia ujezi wa nyumba hizo. Alisema kwamba, hadi sasa limeshajenga nyumba bora 250 jijini Dar es Salaam kwa muda wa miezi tisa, lakini pia shirika |
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa