Translate in your language

Sunday, March 21, 2010

KIDUMU  ALIPOPAGAWISHA  BONGO!! NDANI YA SUNCIRO CLUB!!

Huu ndio mlango mkuu wa kuingila Sunciro club kama unavyoona panavyopendeza,mliokosa mtajiju Kidumu tena.

Kabla Kidumu A.K.A KISADOLINI hili jina alilipata jana toka kwa Wabongo hajapanda kulikuwa na wazee wa Brake Dancer

On the 1 and 2 Dj Infinic wa SunCiro Club akipika CD'S mpango mzima wa Mixing nani ndio kama vile watu walichizika balaaaaaa!!

Nyomi ilishona kama unavyoona hapa hiyo ndio Dancind floor ya SunCiro Club,kama umekosa jana hata leo ukienda utaburudika tu japo Kisadolini hayupo.

The flower akiji express mbele ya Camera ya EATV,Ting'a number 1 kwa vijana moja ya waandaaji wa Show ya Kidumu

Kidumu a.k.a Kisadolini alianza kwa kuimba kwa Hisia kali ana nyimbo moja hivi ukisikiliza lazima utoe chozi,Kiukweli jamaa ni mkali kwa upande wangu nampa 100/100.

HEEEEE! Jamaa haamini anachokiona mbele yake yani kachoka mpaka kashika kiuno,Huyu ni Alex Galinoma wa EATV kitengo cha Burudani

Nyomi la kufa mtu kila mtu alitoa mchina wake na kuanza kuchuka picha kwa ajili ya kumbukumbu Kisadolini alipagawasha Mademu kwa Mameni ilikuwa balaa…Haturudi nyuma Kamwe Juliana wee…..Usipime ngoma inabamba kinoma

Kidumu alikuwa akimtafuta Juliana wa Kibongo kuweza kuimba Verse za Juliana lakini wote warembo wote ilikuwa BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!Sauti zinakoroma mbaya Aibu hawana sauti za kumtoa nyoka Pangoni,pichana ni mmoja wa warembo aliyekuwa akishindania nafasi ya Juliana

 The don. Dominic Nyalifa EATV- Present mzee wa E-NEWS akiwa na flowerz Florance a.k.a Mjaluo

Vijana wa EATV kutoka shoto Nasser,Mussa Kondo pamoja na Abdul,hebu soma ujumbe wa T-shirt ya jamaa.

eeee!!! ndio imeshatoka hiyo ikirudi pancha!!!

 


No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)