Translate in your language

Sunday, June 8, 2014

TANZIA .....

TANZIA: Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small Amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu. Mzee Small alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi kwa kipindi kirefu. Chanzo cha taarifa hizi ni Mtoto wake wa kiume Mahmudu (Mongamba).

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)