Translate in your language

Friday, August 2, 2013

WAZIRI MKUU WA TANZANIA ASHITAKIWA RASMI. MAWAKILI 19 WAJITOA MHANGA

HATI YA MASHITAKA YAFIKISHWA mahakama kuu na LHRC na TLC dhidi ya waziri mkuuna mwanaheria mkuu wa serikali na wanasubiri kupangiwa jaji wa kusikiliza shauri hili na kupinga kauli ya waziri mkuu aliyoitoa bungeni kuhusu atakayekaidi amri za vyombo vya dola apigwe

kwa taarifa zaidi bofya hapa 

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)