Translate in your language

Saturday, July 13, 2013

How to UNLOCK HUAWEI E303 Modem

Wana complexier salama? Leo nimeona niweke sawa somo letu la ku UNLOCK modem za E303 Hizi modem zimekuwa zikiombwa sana na watembeleaji wa mtandao wetu....karibuni tupeane mawili matatu 
http://www.complexsystem.net/components/com_agora/img//2/mini_e303-1.jpg

Twende moja kwa moja....Hii modem unapotaka ku UNLOCK hakikisha umedownload E303 firmware ambayo itaUPDATE hyo iliyopo na modem yako itaweza kutumia LINE za mtandao wowote. Fuata Maelekezo yafuatayo 

Download E303 firmware Hapa na baada ya kudownload....Hakikisha una DISCONNECT internet access kwa computer yako 

Na baada ya hapo, EXIT modem Dashboard (Yaani Exit ile icon ya modem inayokaa kwa ICONS TRAY) alafu RUN hyo software uliyodownload hapo.... 

Baada ya kuRUN hyo software E303 hakikisha unakuwa na master code calculator ambayo iko HAPA 

Moja kati ya master code calculator ni kama hii...http://www.complexsystem.net/components/com_agora/img//2/mini_complex-demo.PNG
Ipo kwa hiyo link ya hapo juu. 
Basi ukishaSTART E303 processing....ikileta sehemu ya kuingiza pasword weka FLASH CODE utakayokuwa umeipata baada ya kutumia IMEI ya Modem yako ku CALCULATE kwa Master Code Calculator..... 

Ukimaliza hayo yote computer yako itaPROMPT kama inainstall kitu hivi, Jitulize ukiwa umeshika mkononi LINE yako ya Mtandao wa "KAZI NI KWAKO" sasa unaweza ukatumia na kwa "....YATOSHA" ama "EXPRESS YOSELF" mambo ya complex Bob....Karibu sana share topic hii kwa rafiki na magroup yoyote kwa wenye shida kama hiii.....


Kama kuna swali uliza kama kuna ishu weka tuikandamize fasta fasta.....Karibu


No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)