Translate in your language

Friday, July 12, 2013

DAH HAWA JAMAA SASA HII KALI KUBWA KULIKO ........!!!!


SHIRIKISHO LAPIGA MARUFUKU TIMU 


ZILIZOFUNGANA 79-0 NA 67-0

SHIRIKISHO la Soka Nigeria limepiga marufuku timu nne za soka zilizocheza mechi zilizoshuhudia “mabao ya kimuujiza” yaliyopelekea mechi kumalizika mabao 79-0 na 67-0. Timu zilizoshinda zilikuwa zikitafuta fursa ya kupandishwa ngazi na zilihitaji mabao mengi. Wakati wa mechi hizo, zilizochezwa wakati mmoja

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)