Translate in your language

Tuesday, February 12, 2013

Wanafunzi 7 wafariki dunia papo hapo katika ajali ya gari Pwani

Wanafunzi 7 waliofariki walikua wamepanda gari(lift) wakitokea shule Chalinze sekondari wakielekea maneo ya Mdaula. Gari walilopata lift lina namba za usajili hizi T363 AZG. Taarifa zaidi zitawekwa zikipatikana
Source: PwaniYetu

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)