Tanzania: Profesa Lipumba azungumzia mzozo wa Gesi
Chama cha upinzani nchini Tanzania CUF kimelaumu mwenendo unaochukuliwa na jeshi la polisi kushughulikia mizozo inayoendelea kujitokeza nchini, ikiwemo mzozo wa usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam.
Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa jeshi la polisi limevuka mipaka ya utendaji wake na wakati mwingine hutumia nguvu isivyo lazima na hivyo kusababisha athari kubwa kwa wananchi
Profesa Ibrahim Lipumba wa chama cha upinzani cha CUF Tanzania
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa