Translate in your language

Tuesday, November 13, 2012

CCM - DODOMA

Mkutano mkuu wa nane wa chama kinachotawala nchini Tanzania jana umeingia siku yake ya pili huko mjini Dodoma
Miongoni mwa mambo makubwa katika mkutano huo ni uchaguzi wa viongozi wa juu wa chama hicho wakiwemo wajumbe kwa nafasi 20 za Halmashauri kuu

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)