Translate in your language

Tuesday, September 18, 2012

Kugunduliwa kwa kaburi la halaiki eneo la Tana River nchini Kenya


Kaburi la halaiki linadaiwa kugunduliwa katika eneo la Tana River nchini Kenya, mkoa ambao umegubigwa na mapigano ya kikabila kati ya makabila ya Wapokomo na Waorma ambayo yamesababisha watu zaidi ya 100 kupoteza maisha.
Jeshi la polisi tayari limekwisha omba kibali cha mahakama kwa lengo la kufukua kaburi hilo ili kuweza kuhesabu idadi ya miili ya watu iliyozikwa katika kabila hilo

taarifa zaidi bonyeza hapa 

1 comment :

Anonymous said...

I wish І knеw you possіblу can ѕaу thankѕ
personally if ӏ сan phone yοu I
wοuld, уou аided changе my gаmіng lifе.

I toԁaу dont' think I will spend just as much doing what I used to do, I may very well be a bit more fashion mindful or simply just discuss with more girls yet still learn how to balance existence a bit.
my webpage: Barbie Gratis

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)