Translate in your language

Saturday, April 7, 2012

R.I.P STEVEN KANUMBA

Msanii maarufu wa maigizo (Tanzania) Steven Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, habari zilizoenea inasemakana kuwa mtu aliehusika na kifo chake ni Lulu ambae alikuwa mpenzi wake, alikuwa bafuni alipotoka alimkuta mpenzi wake huyo Lulu akiwa anaongea na simu, wakati huo Kanumba alikuwa anajiandaa kwenda Club, kutokana kwa kitendo hicho kukawa na mzozo ambapo Lulu alimsukuma na kupelekea Kanumba kuanguka chini na kuumia vibaya kichwani hivyokuwahishwa haraka Hospital ya Muhimbili, na kwa taarifa zingine tayari Lulu anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi juu ya kifo cha aliekuwa nguli  wa movies haoa nchini  



No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)