Translate in your language

Saturday, April 6, 2013

Mmiliki wa ghorofa apewa siku 30 kubomoa

Profesa Tibaijuka aikionekana eneo la tukio
Mmiliki wa jengo lililoleta maafa Dar apewa 

siku 30 kubomoa jengo lake lingine la 

ghorofa 16

“Ninaagiza jengo hilo kuwa libomolewe 


ndani ya 

siku 30 kwa gharama za mmiliki na 

akikaidi atalipishwa faini ya asilimia mbili ya 

gharama ya kuendeleza pasipokuwa na kibali 

kwa kila siku hadi atakapotekeleza agizo 

hilo,” 

alisema Profesa Tibaijuka

Soma zaidi hapa -> http://j.mp/12r0qTS

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)