
Louise na Martine wamelala na jumla ya wanaume takribani 355,000, kila mmoja akiwa amejivinjari na wastani wa wanaume 177,500 kwa kipindi cha miaka 50, ambapo kwa mwaka mmoja kila mmoja alikuwa analala na wanaume 3,550 sawa na wanaume 295 kwa mwezi na kwa siku wanaume 9.
Mapacha hao ambao wanadaiwa kuwa makahaba wenye umri mkubwa zaidi jijini Amsterdam, walianza kazi hiyo wakiwa na umri wa miaka 20. Mapacha hao ni wazazi wa watoto saba, Louise akiwa na watoto wanne, na Martine yeye ana watoto watatu.
source: maisha labs
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa