Translate in your language

Friday, April 26, 2013

Miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....!!!!

Leo tarehe 26.04.2013 Tanzania inaadhimisha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Siku kama hii mwaka 1964 ndipo ulipozaliwa Muungano wa mataifa hayo mawili chini ya waasisi wake Marehemu Abeid Amani Karume pamoja na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
kwa picha zaidi bofya hapa 

k

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)