Translate in your language

Tuesday, June 5, 2012

BREAKING NEWZ!!!!!

Ajali Mbaya yatokea jijini Mbeya,watu 13 wamefariki Dunia,19
wajeruhiwa vibaya

gari aina ya coaster likionekana limeumia vibaya kufuatia ajali hiyo
 Lori lililosababisha ajali hiyo lionekana likiwa
limeagama pembeni kidogo ya sehemu ya ajali hiyo
 Mmoja kati ya majeruhi akiwa tayari ameshapata huduma ya matibabu

 Dada akionekana ameumia vibaya sehemu
 ya kichwani na maeneo karibu na jicho lake la kulia
, akiwa haamini kama amenusurika kifo katika ajali hii mbaya

 Baadhi ya watu wakiwa maeneo ya hospitali kuja
 kaungalia kama ndugu au jamaa zao wamehusika katika ajali hii

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)