Translate in your language
Tuesday, May 29, 2012
Iddi Simba afikishwa mahakamani !!!!!!!!
Waziri wa zamani Iddi Mohamed Simba, serikali ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, leo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jinini Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kuhusika katika kashfa ya uuzaji wa Shirika la Usafirishaji Dar maarufu kwa jina la UDA. Habari zaidi endelea kufuatilia http://www.mwananchi.co.tz/habari
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa