Translate in your language

Sunday, February 5, 2012

MECHI YA KIRAFIKI - MAFIA



 mchezaji wa timu ya polisi akipiga faul kuelekea upande mwingine 
 hekaheka golini mwa timu ya polisi

 mtu na mtu!!!!!!! watu walikaza 


 wachezaji wa timu ya polisi wakiweka ukuta katika moja ya fauls zilizogwa kuelekea langoni kwao

 washabiki na watazamaji walikuwepo kupata burudani ya mchezo 






 penalti iliyofungwa kwa ustadi mkubwa na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-2



 ingawa mchezo ulikuwa wa kirafiki, lakini lawama na maneno zilikuwa za hapa na pale zikielekezwa kwa refa

watu wakiwa wamesimama katika line za kingo za uwanja  bila kufahamu madhara yake, ikiwa ni kupigwa ni mipira na kuangukiwa na wachezaji 

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)