MDAU WA MALARIA HAIKUBALIKI (daruh) ALIVYOKUWA AKIGAWA DAWA ZA NGAO KWA AJILI YA UTIAJI KATIKA VYANDARUA
akiwa na kina mama na watoto
pia aligawa kwa vijana na wazee katika maeneo tofautitofauti
nyumba hadi nyumba
watu walijitokeza kwa wingi kuchukua ngao izo zilizokuwa zikigawiwa bure bila malipo
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa