Translate in your language

Thursday, September 30, 2010

MALARIA HAIKUBALIKI - MAFIA


MDAU WA MALARIA HAIKUBALIKI (daruh) ALIVYOKUWA AKIGAWA DAWA ZA  NGAO KWA AJILI YA UTIAJI KATIKA VYANDARUA

 akiwa na kina mama na watoto
pia aligawa kwa vijana na wazee katika maeneo tofautitofauti
nyumba hadi nyumba
watu walijitokeza kwa wingi kuchukua ngao izo zilizokuwa zikigawiwa bure bila malipo

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)