Uzinduzi wa Shina la wakereketwa mkoani Singida; Pichani ni juu;
Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Shina la Pili la wakereketwa wa CCM,tawi la Mitunduruni alipofanya ziara ya kukagua Vikundi jimboni mwake
Uzinduzi 2-Mh.Mohammed Dewji akipandisha bendera ya CCM baada ya kuzindua Shina hilo kwa ajili ya wakereketwa wa CCM.
Uzinduzi 3-Baada ya kuzindua Shina hilo pia alifanya zoezi la kugawa kadi kwa wananchama wapya wa CCM katika Tawi la Mitundurini.
Uzinduzi 4- Zoezi la Ugawaji kadi likiendelea kwa wanachama wapya wa CCM.
Uzinduzi kiapo- Mh.Mohammed Dewji akiwaapisha wanachama wapya wa CCM baada ya Kuzindua tawi Jipya la CCM mkoani Singida katika kata ya Mitunduruni.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa