Translate in your language

Tuesday, June 8, 2010

MISS KAHAMA 2010 APATIKANA


MREMBO Buduli Ibrahim (19) ameibuka kidedea baada ya kufanikiwa kutwaa taji la Miss Kahama Vodacom 2010 kwa kuwashinda walimbwende wenziwe 12 walioshiriki katika kinyang'anyiro hicho.


Katika kinyang'anyiro hicho ambacho Msanii Naseeb Abdul ama Diamond aliwapagawisha vilivyo mashabiki, mshindi wa pili aliibuka Magreth Godson ( 18 ) na mshindi wa tatu;aliibuka Muhoza Mkangi ( 18 )  ambapo walizawadiwa kila mmoja TV ya inch 18 sambamba na kitita cha Shilingi Laki moja kwa kila mmojawao zawadi ambazo pia zilitolewa na Benki hiyo ya CRDB.








No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)