Translate in your language
Friday, April 16, 2010
Mtikila akamatwa
Mwenyekiti wa chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila (katikati)akichukuliwa na askari kanzu kutoka nyumbani na kumpeleka polisi kwa ajili ya kwenda kupata maelezo baada ya kumtuhumu kwa kuandika waraka wa kichochezi.

No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa