Tamasha La Filamu La Nchi Nane Za Asia Laanza. March 18th, 2010![]() Mshauri (Counsellor) katika Ubalozi wa India hapa nchini Bw. Ngulkham Gangte (kushoto) akifafanua jambo katika Ukumbi wa MAELEZO) jijini Dar leo juu ya kuanza tamasha la filamu la nchi nane za Asia ambazo ni India, China, Japan , Iran , Indonesia na Korea.Wengine wa kwanza kutoka kulia ni Mwambata wa masuala ya habari na utamaduni wa Ubalozi wa India Bw. Sanjeev Manchanda, wa pili kulia ni Mwambata wa habari na utamaduni wa Ubalozi wa Indonesia Bw.Sukamto na wa tatu kutoka kulia ni Mwambata wa masuala ya Utamaduni wa Ubalozi wa Iran Bw. Saeed Omidi. Tamasha hilo linatarajia kuanza kesho saa moja usiku katika Ukumbi wa New World Cinema na litakuwa bure. |
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa