SIKU WAANDISHI WALIPOPOKEA VYETI KUHUSIANA NA UHANDISHI WA HABARI ZA UGONJWA WA SARATANI KUTOKA MEWATA NA TPHA. March 18th, 2010![]() Mkurugenzi Mkuu wa (MEWATA),Dr.Sarah Maongezi akikabidhi cheti kwa mwandishi wa Habari Maelezo Bw.Benjamin Sale aliposhiriki katika semina ya mwisho ya mafunzo ya ugonjwa wa Saratani,Katikati ni Dr.Ali Mzige mwakilishi kutoka (TPHA). ![]() Mkurugenzi Mkuu wa (MEWATA),Dr.Sara Maongezi akimkabidhi cheti Bi.Irene Mark mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima,katikati ni Dr.Ali Mzige mwakilishi kutoka (TPHA) ![]() Kutoka kushoto Dr.Alfred Kangole(TPHA),Dr.Dominista Kombe daktari bingwa wa magonjwa ya saratani Ocean Road(MEWATA),Dr.Ali Mzige(TPHA),Dr.Sara Mongezi Executive Director (MEWATA)Mr.William L. Mbunga (Mwalimu aliyeshiriki kupitia makala za Saratani za wahandishi hao,Dr.Maryrose Giatas(MEWATA) Wote kwa pamoja walikuwa ni Facilitators katika mafunzo hayo. Jamii inashauriwa kujitokeza kupima Saratani ya matiti katika Hopsitali Ocean Road pamoja na vituo maalum,na sisi kwa kina mama tu kwani hata kina baba pia wanaugua Saratani ya matiti Je ulikuwa unalijua hilo?Kaa tayari kusoma makala mbali mbali zitakazokuelimisha juu ya Ugonjwa huo wa Saratani ni |
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa