Ana Star Look na ni muda mrefu akitafuta Modelling hasa nje kwa njia nyingi n finally kapata so pls tu m support ili one day 2010..haya !!uki google via site hiyo utaona picha yake ina logo ya New Faces 2010...his doin music Bongo Fleva,FormerMember wa Rockaz Crew...Sexiest man in dar 2009 and Business man who is into Fashion Na Category alioingia na Magazine Cover !!
Haya kila la Kheri Mohamed Hassan Dogo!!
Anaitwa Randy Shelly anafanya Rock ya chini ni local artist but ameamua kuingia New Faces coz anapenda kweli Modellin as a star..
Newfaces ni kampuni iliotoa mastaa wengi sana kupitia online,muda mrefu nilikuwa nikiwasiliana nao na mwisho leo ndio wametamka Rasmi kama MOHAMED HASSAN Ameingia katika Kampuni yao kama model ambae ma agent itabidi wamuangalia Through Pictures na Paypal ..Kampuni hii iko NEW YORK CITY na Inamatawi yake sweden na Jamaiica na etc...

No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa