Translate in your language

Friday, March 19, 2010

MAFIA MPO?? ADHABU YA WEZI KIGAMBONI!!!


Hawa ni wezi waliokuwa wakijaribu kuiba Simtank la kuhifadhia maji na mwishowe wakamatwa na wananchi wa kigamboni na kuamua kuwatembeza uchi wa mnyama mtaani pamoja na kuchwapwa viboko ili kukomesha wizi.

Sehemu zilizozibwa ni kwa ajili maadili ya kitanzania na kulinda heshima za watuhumiwa hawa,ila wananchi wa Kigamboni waliamua kuwatembeza uchi wa mnyama kama walivyozaliwa,Je adhabu kama hii itakomesha matukio ya wizi mitaani mwetu?

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)