Translate in your language

Sunday, March 28, 2010

'KWA HERI BALOZI CHRISTOPHER NGAIZA'

Mazishi ya marehemu ,Balozi Christopher Ngaiza, ambaye alikuwa mdhamini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).
 
Mazishi hayo yalifanyika nyumbani kwake  katika kijiji cha Mbale, Wilayani Muleba,Kagera.

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)