DUH HUU UKATILI GANI ALEX!!!!! Duh Msela katili eh?
HUYO NDIO ALEX DAMIAN AKIWA ANAMBANIKA MTOTO WAKE WA KUFIKIA KATIKA JIKO LA KUOKEA. NINI KISA FUATILIA FILAMU YA LONELY ambayo sasa ipo madukani ikisambazwa na GMC........ |
Juu ni Joseph Lugendo akijiandaa kumalizia vipande vya Lonely na chini ni Juma Jumanne akitengeza jiko alilochomewa Lonely. Usiikose hiyo filamu AMBAYO MADUKANI KOTE SASA AU WASILINA NA NA SADIQUE BWANGA 0713676537 |
Duh Msela katili eh?
scene hii inapatikana ndani ya filamu ya lonely iliyojaa mapenzi na uongo wa hali ya juu. kutana na waigizaji wako chipukizi lakini wenye vipaji vya hali ya juu chini ya uongozi wa Joseph Alex Lugendo.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa