Translate in your language
Sunday, July 19, 2015
soma alichokisema Mh. Januari Makamba juu ya kile kilichodaiwa na mkongwe wa siasa nchini Mzee Kingunge Ngombare Mwiru kuhusiana na mchakato uliofanyika kumpata mgombea uraisi kupitia chama cha mapinduzi CCM
“Mzee Kingunge ni mtu mzima, ninamuheshimu sana, ni mkongwe katika siasa, lakini anakivuruga chama… Ndani ya chama kuna wazee wenye busara ambao waliangalia vitu vingi hadi kumteua mgombea kwani unaweza kuwa mtendaji mzuri lakini ukawa na kasoro nyingi hivyo, unaweza vilevile kuonekana ukashindwa kukivusha chama kwenye ushindi”—January Makamba. bofya hapa kwa taarifa zaidi
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa