Kuna kozi imeanzishwa kwenye idara ya Afya inaitwa COMMUNITY HEALTH, inasomwa kwa mwaka mmoja, vigezo vyake ni form four awe na pass za Biology D, na masomo mengine yoyote matatu kasoro ya DINI awe na Pass za D. Application zinatumwa kwenye mtandao wa NACTE. www.nacte.go.tz. Mhitimu ataajiriwa na serikali. Waambieni na wengine tafadhali hiyo ni fursa. The earlier the better
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa