Ajali mbaya imetokea leo majira ya asubuhi uko moshi katika daraja la sadala na kusababisha mauti papo hapo ya watu kadhaa na majeruhi idadi ya waliofariki na kujeruhiwa bado haijapatikana, juhudi zinaendelea kujua chanzo cha ajali na idadi kamili ya waliokufa na kujeruhiwa katika ajali hiyo
picha juu zikionyesha hali ilivyokuwa baada ya ajali hiyo
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa