Translate in your language

Tuesday, December 31, 2013

Asia Idarous Khamisi afiwa na Kaka yake

Asia Idarous Khamisi afiwa na Kaka yake
Andrew Chale,Zanzibar
MBUNIFU mkongwe wa mitindo na mavazi nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na kaka yake, Aliyefahamika kwajinala Athuman Bakari, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Akizungumza  kwa majonzi, Asia Idarous alisema kuwa, kuondokewa na kaka yake huyo ni pigo kubwa kwao na kumuombea.
"Familia ipo katika masikitiko makubwa, hivyo  tunamuombea kwa Muumba" alisema  Asia kwa masikitiko.
Na kuongeza kuwa, mazishi ya msiba huo yanatarajiwa kuwa mchana wa leo Desemba 31, huko huko Kisiwa Ndui, Zanzibar.

 


No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)