Translate in your language

Wednesday, August 28, 2013

Cloud aachia Shahada

MSANII wa filamu nchini Issa Mussa 'Cloud 112' ameachia filamu yake mpya iitwayo Shahada, baada ya kutamba na filamu yake ya Toba chini ya kampuni yake ya Cy&Cl.

Akizungumza jana, Cloud alisema filamu hiyo ya Shahada ipo kivingine na inazungumzia mambo ya dini.

Katika filamu hiyo ya Shahada, amewashirikisha wasanii nguli katika tasnia hiyo akiwemo, Esha Buhet, Salama Salmin, Awadh Salehe, Skyner Ally na wengine
 


No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)