Translate in your language
Tuesday, October 9, 2012
Dereva wa bodaboda na abiria wake wafariki katika ajali maeneo ya Makongo
Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao majina yao bado hayajafahamika,
wamefariki papo hapo katika ajali baada ya bodaboda waliyokua
wanasafiri nayo kugongwa na gari katika barabara ya Bagamoyo, maeneo ya
Makongo. Pichani, miili ya marehemu ikiwa imelazwa pembeni ya barabara
ya Bagamoyo, na raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika ajali
hiyo. Pikipiki (namba za usajili T 491 BFY) na gari aina ya Starlet
(usajili T 838 BKB) zilizohusika na ajali hiyo zikionekana katika
picha.
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa