Translate in your language

Monday, September 3, 2012

R.I.P DAUD MWANGOSI

Askari Polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU),wakimsulubu mtu anayedaiwa kuwa ni Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten Iringa,Daud Mwangosi katika vurugu zilizotokea kati ya Polisi na wafuasi wa Chadema kwenye kijiji cha Nyololo,Mufindi jana.Katika vurugu hizo mwandishi huyo aliuawa kwa kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu
source: mwananchi 

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)