Hatimaye
jeshi la polisi limeruhusu kufanyika kwa maandamano ya waandishi wa
habari mkoani Dar es salaam kesho,kilele chake kitakuwa ni katika
viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie viwanja vya mnazi
mmoja.Kamanda kova athibitisha kuwepo kwa maamuzi hayo baada ya
vutanikuvute
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa