Translate in your language

Thursday, August 16, 2012

SINTOFAHAMU USAFIRI WA MAJINI


Tanzania mamlaka inayosimamia misafara ya meli imetoa muongozo mpya kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo vya baharini kufuatia mfululizo wa ajali za meli zilizogharimu maisha ya watu.

mwongozo huo unamtaka msafiri kuja na kitambulisho cha kupigia kura au kile cha makazi zanzibar ili aweze kukatiwa tiketi na kuendelea na safari, kutokana na muongozo huu umeleta shida sana kwa wasafiri waliokuwa wanahitaji huduma hiyo ya usafiri kwani wengi wao hawakuwa na taarifa huku wengine wakiwa hawana kabisa vitambulisho hivyo

swali: Je, muongozo huu utapunguza ajali hizi ambazo zinaonekana kukosa ufumbuzi kwa sasa?

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)