![]() |
Na hii ndio gari (verrosa) aliyopewa baada ya kusaini mkataba huo na timu ya simba |
Akinukuliwa na Mtandao mmoja unaojishughulisha na Vijana Teen Tz Ngassa amesema amejipanga kufanya mambo makubwa na ndo maana hajataka kupoteza muda kwa kujiunga na wenzake kuanza mazoezi,aidha Ngassa amewataka mashabiki wa Simba kumpa ushirikiano ili awafanyie mambo ambayo hawatayasahau kwa urahisi
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa