Translate in your language

Tuesday, March 27, 2012

SHANGWE NA NDELEMO KWA SIMBA !!!!!

 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage (kulia) na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
 (wa pili kulia) wakiwapungia mashabiki.
 
 Mashabiki wa Simba wakiwa na mori ya ushindi.
 
 Moja wa mabango yaliyokuwa na ujumbe wa utani wa miongoni mwa wapenzi wa soka
Kiungo mshambuliaji wa ES Setif, Youcef Ghezzali, akiwa chini baada ya kupigwa chenga ya maudhi na Mwinyi kiungo-mshambuliaji wa Simba Mwinyi Kazimoto.
 

 Beki wa kushoto wa ES Setif, Smain Diss, akimkaba mshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu

 Wachezaji wa Simba na benchi la ufundi wakishangilia baada ya mpira kumalizika na kuibuka na ushindi.
Ni furaha tupu kwa wapenzi wa Simba.

Timu ya Simba jana iliwapa mashabiki wake matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (Caf) baada ya kuichapa timu ya Waarabu wa Algeria, ES Setif, kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zitarudiana nchini Algeria hivi karibuni.

1 comment :

Anonymous said...

Do you have any video of that? I'd want to find out more details.
Review my blog post Chestfatburner.Com

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)