Translate in your language

Friday, December 23, 2011

BAADHI YA PICHA ZA MAAFA YA MVUA DAR ES SALAAM

kufa kufahana bajaji zikionekana kupata wateja baaba ya usafiri wa daladala kuwa tabu baada ya miundombinu ya barabara kuharibika

 wakina mama wakionekana wakivuka kwa uangalizi mkubwa katika daraja la salender kabla ya daraja hilo kufungwa kwa muda kutokana na kuathirika kwa mvua hizo

Askari akiwa katika moja ya majukumu yake ya kuangalia usalama wa raia katika daraja la salender


 Baadhi ya picha zikionyesha mafuriko eneo la jangwani kutokana na mvua hizo
 Waokoaji wakiwa juu ya mapaa ya nyumba ntayari kwa uokoaji
 Eneo la daraja la jangwani lionekana kuathirika katika kingo zake
Watoto nao hawakusita kuendelea na michezo yao, kama anavyoonekana mtoto huyu akiruka juu ya matenga yaliyopangwa kurahisisha watu kupita bila kukanyaga maji machafu yaliyotokana na mvua

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)