Translate in your language

Monday, August 30, 2010

HABARI WADAU

Habari wadau; mimi Andrew Chale mratibu na Afisauhusiano wa umoja wa watoto na vijana waishio mitaani katikati ya jiji la Dar es Salaam(NEW HOPE FAMILY STREET CHILDRE-NFSC )

Hivyo naomba ushirikiano wenu kama mulivyouonyesha awali  tusaidiane kuendesha gurudumu hili la maisha ususani ya watoto wa mitaani

..kwa kusaidiana katika habari ili habari zao ziweze kuwafikiwa jamii.

mawasiliano; email ya Umoja; familynewhope@yahoo.com
                                                   ;andrewchale@gmail.com
                                                   ;chalefamily@yahoo.com

      simu; +255719076376/0719076376

Dar es Salaam

1 comment :

orehabusiness said...

kaka tupo pamoja mchango wangu utaupata bila kikwazo

kazi njema

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)